# Sentensi unganishi Yesuanaendelea kuelezea mfano # watumishi wengine, akisema waambieni wote walioalikwa akawaamuru, watumishi wawaambie wale aliowaalika. # Angalieni "Angalia" au "Sikiliza" au "Kuwa msikivu kwa kile ninachotaka kukuambia." # Fahali na ndama wangu wameuawa Inamaanisha kuwa wale wanyama wameshapikwa na wako tayari kwa kuliwa. "Watumishi wangu wamechinja na wamewapika mafahali na ndama wangu wanono" # Mafahali na ndama wangu wanono "Mafahali wangu na ndama wangu walio wazuri kwa kula"