sw_tn/mat/21/33.md

24 lines
504 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Kuwakemea viongoziwa dini na kufafanua kutokuamini kwao, Yesu anaeleza mfano wa watumishi wapinzani.
# Mtu mwenye eneo kubwa la aridhi
"mtu anayemiliki sehemu ya mali"
# uzio
"ukuta" au "kizuizi"
# akachimba shinikizo
"alichimba shimo la kukamulia zabibu"
# akalikodisha kwa watunza zabibu
"kuwaweka wakulima wa mizabibu kuwa wasimamizi wa shamba la mizabibu" Mwenye shamba bado ni mmliki wa shamba.
# Wakulima wa mizabibu
watu waliojua jinsi ya kutunza mizabibu na divai