# Sentensi unganishi Kuwakemea viongoziwa dini na kufafanua kutokuamini kwao, Yesu anaeleza mfano wa watumishi wapinzani. # Mtu mwenye eneo kubwa la aridhi "mtu anayemiliki sehemu ya mali" # uzio "ukuta" au "kizuizi" # akachimba shinikizo "alichimba shimo la kukamulia zabibu" # akalikodisha kwa watunza zabibu "kuwaweka wakulima wa mizabibu kuwa wasimamizi wa shamba la mizabibu" Mwenye shamba bado ni mmliki wa shamba. # Wakulima wa mizabibu watu waliojua jinsi ya kutunza mizabibu na divai