sw_tn/mat/21/25.md

32 lines
731 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwajibu viongozi wa dini
# ulitoka wapi
"alipata mamlaka toka wapi?"
# tukisema, ulitoka mbinguni; atatuambia, kwa nini hamkumwamini?
"kama tukisema kuwa tunaamini kuwa Yohana alipokea mamlaka toka mbinguni, Yesu atatuuliza kuwa kwa nini hatukumwamini Yohana"
# Toka mbinguni
"mbinguni" inamaanisha Mungu."Kutoka kwa Mungu mbinguni"
# Kwa nini hamkumwamini?
Basi mngekuwa mmemwamini Yohana Mbatizaji"
# lakini tukisema, 'ulitoka kwa watu'
"lakini kama tukisema kuwa tunaamini kuwa Yohana alipokea mamlaka kutoka kwa watu"
# tunawaogopa watu
tunaogopa kile makutano watakachotufikiria au kile watakachotufanyia"
# Wote wanamwona Yohana kama nabii
"Wanaamini kuwaYohana ni nabii"