# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwajibu viongozi wa dini # ulitoka wapi "alipata mamlaka toka wapi?" # tukisema, ulitoka mbinguni; atatuambia, kwa nini hamkumwamini? "kama tukisema kuwa tunaamini kuwa Yohana alipokea mamlaka toka mbinguni, Yesu atatuuliza kuwa kwa nini hatukumwamini Yohana" # Toka mbinguni "mbinguni" inamaanisha Mungu."Kutoka kwa Mungu mbinguni" # Kwa nini hamkumwamini? Basi mngekuwa mmemwamini Yohana Mbatizaji" # lakini tukisema, 'ulitoka kwa watu' "lakini kama tukisema kuwa tunaamini kuwa Yohana alipokea mamlaka kutoka kwa watu" # tunawaogopa watu tunaogopa kile makutano watakachotufikiria au kile watakachotufanyia" # Wote wanamwona Yohana kama nabii "Wanaamini kuwaYohana ni nabii"