sw_tn/mat/20/05.md

24 lines
428 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kusimulia mfano
# akaenda tena
"Mmiliki wa shamba akaenda tena"
# saa ya sita
saa ya sita ni sawa na sasa sita mchana. saa ya tisa ni sawa na saa tisa mchana
# alifanya hivyo hivyo
Hii inamaanisha yule mmilikiwashamba alienda sokono kuaajiri atu wengine
# saa ya kumi n a moja
Hii ni sawa na saa kumi na moja mchana
# bila kazi
"bila kufanya chochote" au "bila kuwa na kazi yote"