# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kusimulia mfano # akaenda tena "Mmiliki wa shamba akaenda tena" # saa ya sita saa ya sita ni sawa na sasa sita mchana. saa ya tisa ni sawa na saa tisa mchana # alifanya hivyo hivyo Hii inamaanisha yule mmilikiwashamba alienda sokono kuaajiri atu wengine # saa ya kumi n a moja Hii ni sawa na saa kumi na moja mchana # bila kazi "bila kufanya chochote" au "bila kuwa na kazi yote"