sw_tn/mat/19/23.md

20 lines
492 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesuanawaeleza wanafunziwake zawadi ya kutokutafuta mali ya hapa duniani na uhusianao wa kumfuata yeye.
# kweli nawaambia
nawaambia ukeli. huunimsisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# kuingia katika ufalme wa mbinguni
kumpokea Mungu wa mbinguni kama mfalme wetu.
# ni rahisi ... ufalme wa mbinguni
Yesu anatumia mbalagha kusisitiza kuwa ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
# Tundu la sindano
Tobo katika mwisho wa sindano kwa kupitishia uzi