# Sentensi unganishi Yesuanawaeleza wanafunziwake zawadi ya kutokutafuta mali ya hapa duniani na uhusianao wa kumfuata yeye. # kweli nawaambia nawaambia ukeli. huunimsisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye # kuingia katika ufalme wa mbinguni kumpokea Mungu wa mbinguni kama mfalme wetu. # ni rahisi ... ufalme wa mbinguni Yesu anatumia mbalagha kusisitiza kuwa ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. # Tundu la sindano Tobo katika mwisho wa sindano kwa kupitishia uzi