sw_tn/mat/19/16.md

24 lines
456 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaongelea habariya mtu tajiri na jinsi iwezavyo kumgharimuamafuatapo Yesu
# Tazama
Mwandishi anamweka mtu mpya kwenye habari.Lugha yako inaweza kuwa na njia nyingine ya kufanya hivyo.
# Kitu kizuri
kitu kinachompendeza Mungu
# kwa nini unaniuliza ni kitu gani kizuri
usiniulize juu ya kitu kilicho kizuri
# kuna mmoja tu aliye mwema
"Mungu pekee ndiye mwema aliyekamilka"
# kuingia uzimani
"ikupokea uzima wa milele"