# Sentensi unganishi Yesu anaongelea habariya mtu tajiri na jinsi iwezavyo kumgharimuamafuatapo Yesu # Tazama Mwandishi anamweka mtu mpya kwenye habari.Lugha yako inaweza kuwa na njia nyingine ya kufanya hivyo. # Kitu kizuri kitu kinachompendeza Mungu # kwa nini unaniuliza ni kitu gani kizuri usiniulize juu ya kitu kilicho kizuri # kuna mmoja tu aliye mwema "Mungu pekee ndiye mwema aliyekamilka" # kuingia uzimani "ikupokea uzima wa milele"