sw_tn/mat/19/13.md

24 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anawapokea na kuwabariki wat.oto wadogo
# Kisha akaletewa baadhi ya watoto wadogo
watu baadhi wakaleta watoto wadogo kwa Yesu
# Kibali
"Ruhusu"
# Msiwazuie kuja kwangu
Msiwazuie kwa kuja kwangu
# Kwa maana ufalme wa mbinguni ni wa watu kama hao
Mungu kuwa mfalme kwa watu anaowatawla
# ni wa watu kama hao
ni wa watu kama watoto