# Sentensi unganishi Yesu anawapokea na kuwabariki wat.oto wadogo # Kisha akaletewa baadhi ya watoto wadogo watu baadhi wakaleta watoto wadogo kwa Yesu # Kibali "Ruhusu" # Msiwazuie kuja kwangu Msiwazuie kwa kuja kwangu # Kwa maana ufalme wa mbinguni ni wa watu kama hao Mungu kuwa mfalme kwa watu anaowatawla # ni wa watu kama hao ni wa watu kama watoto