sw_tn/mat/19/10.md

24 lines
635 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# walioruhusiwa
wale ambao Mungu amewaruhusu au ambao Mungu huwaruhusu
# kwa kuwa wapo matowashi waliozaliwa tokea tumboni mwa mama
kwa kuwa kuna wanaume waliozaliwa kuwa matowashi
# Matowashi waliojifanya matowashi
kuna matowashi waliofanywa kuwa matowashi
# kuna matowashi waliojifanya kuwa matowashi
inawweza kumaanisha 1)wanaume waliojifanya wenyewe kwa kutoa sehehmu zao za siri 2) wanaume waliochagua kutokuoana ni wasafi katika swala la zinaa.
# kwa ajili ya ufalme wa mbinguni
ualame wa mbinguni inamaanisha Mungu kutawala kama mfalme
# Pokea mafundisho haya...pokea
Anayeweza kupokea mafundisho haya na ayapokee."