# walioruhusiwa wale ambao Mungu amewaruhusu au ambao Mungu huwaruhusu # kwa kuwa wapo matowashi waliozaliwa tokea tumboni mwa mama kwa kuwa kuna wanaume waliozaliwa kuwa matowashi # Matowashi waliojifanya matowashi kuna matowashi waliofanywa kuwa matowashi # kuna matowashi waliojifanya kuwa matowashi inawweza kumaanisha 1)wanaume waliojifanya wenyewe kwa kutoa sehehmu zao za siri 2) wanaume waliochagua kutokuoana ni wasafi katika swala la zinaa. # kwa ajili ya ufalme wa mbinguni ualame wa mbinguni inamaanisha Mungu kutawala kama mfalme # Pokea mafundisho haya...pokea Anayeweza kupokea mafundisho haya na ayapokee."