sw_tn/mat/19/05.md

24 lines
752 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Katika mstari wa 5, Yesu ananukuu kutoka Mwanzo kuonesha kuwa Mume na mke hawatakiwi kuachana
# Na yeyealiyewaumba pia alisema, 'kwa sababu hii ...mwili mmoja?
Huu ni mwandelezo wa swali ambal oYesu alilitumia kuwaliza Mafarisayo katika 19:3. Hii nukuu ya moja kwa moja inaweza kuelezwa kama nukuu isyo ya moja kwa moja. Kwa hakika mnajua kuwa Mungu alisema kuwa kwa sababu hii...mwili mmoja.
# kwa sababu hii
sababu ya mwanamume kumwacha baba na mama ni kwamba Mungu alimuumba mwanamke kuwa msaidizi wa mwanamume
# Ungana na mke wake
"Kaa na mke wake"
# Na wale wawili watakuwa mwili mmoja
"watakuwa kama mwili mmoja"
# Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja
Kwahiyo mwanamume na mwanake siwawil tena bali mwili mmoja"