# Maelezo kwa ujumla Katika mstari wa 5, Yesu ananukuu kutoka Mwanzo kuonesha kuwa Mume na mke hawatakiwi kuachana # Na yeyealiyewaumba pia alisema, 'kwa sababu hii ...mwili mmoja? Huu ni mwandelezo wa swali ambal oYesu alilitumia kuwaliza Mafarisayo katika 19:3. Hii nukuu ya moja kwa moja inaweza kuelezwa kama nukuu isyo ya moja kwa moja. Kwa hakika mnajua kuwa Mungu alisema kuwa kwa sababu hii...mwili mmoja. # kwa sababu hii sababu ya mwanamume kumwacha baba na mama ni kwamba Mungu alimuumba mwanamke kuwa msaidizi wa mwanamume # Ungana na mke wake "Kaa na mke wake" # Na wale wawili watakuwa mwili mmoja "watakuwa kama mwili mmoja" # Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja Kwahiyo mwanamume na mwanake siwawil tena bali mwili mmoja"