sw_tn/mat/19/03.md

16 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kufundisha juu ya ndoa na talaka
# wakamjia
"walikuja kwa Yesu
# wakaimjaribi wakisema
kujaribu limetumika kwa maana hasi. "wakamkosoa kwa kumuuliza" au "walitaka kumkamata kwa kumuuliza"
# Hamkusoma kwamba yeye aliyewaumba mwanzo aliwauumba mume na mke?
Yesu anatumia swali kuwajibu Mafarisayo. "Kwa hakika mmesoma kwamba mwanzo Mungu aliwaumba watu,aliwaumba"mume na mke