# Sentensi unganishi Yesu anaanza kufundisha juu ya ndoa na talaka # wakamjia "walikuja kwa Yesu # wakaimjaribi wakisema kujaribu limetumika kwa maana hasi. "wakamkosoa kwa kumuuliza" au "walitaka kumkamata kwa kumuuliza" # Hamkusoma kwamba yeye aliyewaumba mwanzo aliwauumba mume na mke? Yesu anatumia swali kuwajibu Mafarisayo. "Kwa hakika mmesoma kwamba mwanzo Mungu aliwaumba watu,aliwaumba"mume na mke