sw_tn/mat/18/18.md

40 lines
570 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mta
viwakilishi vyote hivi viko katka wingi
# Funga...fungwa...fungua...funguliwa
tazama 16:19
# Itafungwa...itafunguliwa
"Mungu atafunga...Mungu atafungua."
# nawaambieni
Msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# Baba yangu
Hicho ni cheo cha muhimu kwa Mungu kinachoonesha uhusiano wa Mungu na Yesu.
# kama wawili wenu
anagalau wawili
# wawili au watatu
"wawili au zaidi" au "angalau wawili"
# Wamekusanyika
"kutana"
# waki ... wao
inamaanisha "wawili wenu"
# Baba yangu
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu kinachoonesha uhusiano kati ya Mungu na Yesu