# mta viwakilishi vyote hivi viko katka wingi # Funga...fungwa...fungua...funguliwa tazama 16:19 # Itafungwa...itafunguliwa "Mungu atafunga...Mungu atafungua." # nawaambieni Msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye # Baba yangu Hicho ni cheo cha muhimu kwa Mungu kinachoonesha uhusiano wa Mungu na Yesu. # kama wawili wenu anagalau wawili # wawili au watatu "wawili au zaidi" au "angalau wawili" # Wamekusanyika "kutana" # waki ... wao inamaanisha "wawili wenu" # Baba yangu Hiki ni cheo muhimu cha Mungu kinachoonesha uhusiano kati ya Mungu na Yesu