sw_tn/mat/17/26.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendela kumfundisha Petro juu ya kulipa kodi
# Maelezo kwa ujumla
Huu ni mwisho wa habariinayoanzi 13:54 amabpo mwandishi amaeelza juu ya upinzani wa wa huduma ya Yesu kuhusu ufalme wa mbinguni
# Petro aliposema kutoka kwa wageni
wakati Petro aliposema "ndiyo. hiyo ni sawa ,wafalme hukusanya kodi kutoka kwa wageni"
# kutoka kwa wageni
Nyakati hizi za leo. wafalme wanatoza kodi toka kwa raia wake, lakini katika nyakati za zamani wafalme walitoza kodi toka kwa watu waliokuwa wamewashinda na si raia wao.
# watawaliwa
Watu chini ya kiongozi au mfalme.
# lakini tusije tukawafanya watoza ushuru kutenda dhambi
lakini tusiwafanye watoza ushuru kutenda kuwa na hasira
# tupa ndoano
wavuvi hufunga ndoano mwisho wa uzi, na kisha huitupa majini ili kukamata samaki
# mdomo wake
"mdomo wa samaki"
# shsekeli
sarafu iliyotosha malipo ya kibarau kwa siku moja
# chukua
chukua shekeli
# kwangu na wewe
wewe inamaanisha Petro. Kila mwanamume alipaswa kulipa shekeli moja. kwa hiyo Shekel moja iliweza kutosha kwa kodi ya Peteo na Yesu