# Sentensi unganishi Yesu anaendela kumfundisha Petro juu ya kulipa kodi # Maelezo kwa ujumla Huu ni mwisho wa habariinayoanzi 13:54 amabpo mwandishi amaeelza juu ya upinzani wa wa huduma ya Yesu kuhusu ufalme wa mbinguni # Petro aliposema kutoka kwa wageni wakati Petro aliposema "ndiyo. hiyo ni sawa ,wafalme hukusanya kodi kutoka kwa wageni" # kutoka kwa wageni Nyakati hizi za leo. wafalme wanatoza kodi toka kwa raia wake, lakini katika nyakati za zamani wafalme walitoza kodi toka kwa watu waliokuwa wamewashinda na si raia wao. # watawaliwa Watu chini ya kiongozi au mfalme. # lakini tusije tukawafanya watoza ushuru kutenda dhambi lakini tusiwafanye watoza ushuru kutenda kuwa na hasira # tupa ndoano wavuvi hufunga ndoano mwisho wa uzi, na kisha huitupa majini ili kukamata samaki # mdomo wake "mdomo wa samaki" # shsekeli sarafu iliyotosha malipo ya kibarau kwa siku moja # chukua chukua shekeli # kwangu na wewe wewe inamaanisha Petro. Kila mwanamume alipaswa kulipa shekeli moja. kwa hiyo Shekel moja iliweza kutosha kwa kodi ya Peteo na Yesu