sw_tn/mat/17/09.md

16 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Tukio lifuatalo lilitokea mara tu baada ya wale wanafunzi watatu kushuhudia Yesu akibadilishwa
# Na walipokuwa
Na Yesu na wanafunzi wake
# mwana wa Adamu
yeye anajinenea mwenyewe
# kwa nini wandishai husema kuwa Eliya atakuja kwanza?
Wanafunzi wanazingatia mafundisho ya kwamba Eliya atarudi kwanza kwa wana wa Israel kabla ya Masihi kurudi