# Sentensi unganishi Tukio lifuatalo lilitokea mara tu baada ya wale wanafunzi watatu kushuhudia Yesu akibadilishwa # Na walipokuwa Na Yesu na wanafunzi wake # mwana wa Adamu yeye anajinenea mwenyewe # kwa nini wandishai husema kuwa Eliya atakuja kwanza? Wanafunzi wanazingatia mafundisho ya kwamba Eliya atarudi kwanza kwa wana wa Israel kabla ya Masihi kurudi