sw_tn/mat/16/24.md

44 lines
891 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nifuate
"uwe mwanafunzi wangu" au "uwe mmoja wa wanafunzi wangu"
# auchukue msalaba wake na anifuate
msalaba unawakilisha mateso na kifo. lazima anitii hata kiasi cha kufa"
# , na kunifuata
"na kunitii"
# Kwa yeyote atakaye
"Kwa yeyote anayetaka"
# atayapoteza
Hii haimanishi kuwa yule mtu lazima afe. inamaanisha kumwamini Yesu kuwa jambo la muhimu kuliko maisha yake.
# kwa ajili yangu
"kwa sababu ananiamini mimi" au " kwa sababu yangu"
# atayaokoa
atapata maisha ya kweli
# Ni faida gani atakayopata mtu ... akapoteza maisha yake
Haimpi mtu faida ...maisha yake
# akaipata dunia yote
hakuna kitu cha thamani duniani kuliko kuishi na Mungu. " kama akipata kila kitu ulimwenguni"
# lakini akapoteza maisha yake
"lakini akapoteza maisha yake"
# ni kitu gani atakachotoa mtu katika kubadilishana na maisha yake
"Hakuna kitu ambacho mtu atatoa ili kurudisha uhai wake"