# nifuate "uwe mwanafunzi wangu" au "uwe mmoja wa wanafunzi wangu" # auchukue msalaba wake na anifuate msalaba unawakilisha mateso na kifo. lazima anitii hata kiasi cha kufa" # , na kunifuata "na kunitii" # Kwa yeyote atakaye "Kwa yeyote anayetaka" # atayapoteza Hii haimanishi kuwa yule mtu lazima afe. inamaanisha kumwamini Yesu kuwa jambo la muhimu kuliko maisha yake. # kwa ajili yangu "kwa sababu ananiamini mimi" au " kwa sababu yangu" # atayaokoa atapata maisha ya kweli # Ni faida gani atakayopata mtu ... akapoteza maisha yake Haimpi mtu faida ...maisha yake # akaipata dunia yote hakuna kitu cha thamani duniani kuliko kuishi na Mungu. " kama akipata kila kitu ulimwenguni" # lakini akapoteza maisha yake "lakini akapoteza maisha yake" # ni kitu gani atakachotoa mtu katika kubadilishana na maisha yake "Hakuna kitu ambacho mtu atatoa ili kurudisha uhai wake"