sw_tn/mat/15/21.md

32 lines
694 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Hii inaazisha habari y aYesu kumponya binti wa mwanamke Mkananayo
# Yesu akatoka
Inamaanisha kuwa wanafunzi waliondoka na Yesu
# Tazama, akaja mwanmke Mkanani
Kulikuwa na mwanamke Mkanaani aliyekuja kwa Yesu
# Akaja mwanamke Mkanaani kutoka pande hizo
"mwanamke kutoka kundi la watu aliyeitw Mkaanani anayeishi katika eneo hilo.
# Nihurumie
Kirai hiki kinamaanisha kuwa alikuwa akimuomba Yesu amponye binti yake.
# Mwana wa Daudi
Yesu hakuwa Mwana wa Daudi kimwili, hii inaweza kutafsiriwa kama "wa kizazi cha Daudi"
# binti yangu anateswa sana na pepo
Pepo linamtesa sana binti yangu
# lakini Yesu hakumjibu neno
Hapa "neno" linamaanisha kile mtu asemacho