# Maelezo kwa ujumla Hii inaazisha habari y aYesu kumponya binti wa mwanamke Mkananayo # Yesu akatoka Inamaanisha kuwa wanafunzi waliondoka na Yesu # Tazama, akaja mwanmke Mkanani Kulikuwa na mwanamke Mkanaani aliyekuja kwa Yesu # Akaja mwanamke Mkanaani kutoka pande hizo "mwanamke kutoka kundi la watu aliyeitw Mkaanani anayeishi katika eneo hilo. # Nihurumie Kirai hiki kinamaanisha kuwa alikuwa akimuomba Yesu amponye binti yake. # Mwana wa Daudi Yesu hakuwa Mwana wa Daudi kimwili, hii inaweza kutafsiriwa kama "wa kizazi cha Daudi" # binti yangu anateswa sana na pepo Pepo linamtesa sana binti yangu # lakini Yesu hakumjibu neno Hapa "neno" linamaanisha kile mtu asemacho