sw_tn/mat/15/15.md

24 lines
620 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaeleza mfano amabao amefundisha katika 15:12
# kwetu
kwetu wanafunzi
# bado hamuelewi
Yesu mfano kuwakemea wanafunzi kwa kutokuelewa mfano. Pia kwakilisha cha "hamu" kimesisitizwa. Yesu hawezi kuwaamini wanafunzi wake kwa kutokuelewa. Nimekatishwa tamaa na ninyi wanafunzi wangu kwa kuwa hamjaelewa kile ninachofundisha.
# Nanyi hamuoni kuwa kile kiendacho ... na kwenda chooni
Yesu anatumia swli kuwakemea wanafunzi kwa kutokuelewa mfano. "hakika mnaelewa ... kwenda chooni"
# kiendacho mdomoni
hupitia mdomoni
# chooni
Hii ni tafsida kwa eneo ambalo watu huzika uchafu wa mwili