# Sentensi unganishi Yesu anaeleza mfano amabao amefundisha katika 15:12 # kwetu kwetu wanafunzi # bado hamuelewi Yesu mfano kuwakemea wanafunzi kwa kutokuelewa mfano. Pia kwakilisha cha "hamu" kimesisitizwa. Yesu hawezi kuwaamini wanafunzi wake kwa kutokuelewa. Nimekatishwa tamaa na ninyi wanafunzi wangu kwa kuwa hamjaelewa kile ninachofundisha. # Nanyi hamuoni kuwa kile kiendacho ... na kwenda chooni Yesu anatumia swli kuwakemea wanafunzi kwa kutokuelewa mfano. "hakika mnaelewa ... kwenda chooni" # kiendacho mdomoni hupitia mdomoni # chooni Hii ni tafsida kwa eneo ambalo watu huzika uchafu wa mwili