sw_tn/mat/15/04.md

24 lines
845 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kwajibu Mafarisayo
# Maelezo kwa ujumla
Katika mstariwa 4, Yesu ananukuu m ara mbili kutoka kitabu cha kutoka ili kuonyesha jinsi Mungu anavyotegemea watu kuwatendea wazazi wao
# hakika atakufa
watu watamuua
# Lakini ninyio husema, 'kila amwambiaye baba yake na mama yake ... mtu huyo hana haja ya kumheshimu baba yake
Lakini mnafundisha kuwa mtu hahitajio kuwaheshimu wazazi wake kwa kuwapa kitu ambacho kingeweza kuwasaidia kama mtu atawaambia wazazi wake hivyo tayari ameto zawadi kwa Mungu
# hana haja ya kumheshimu baba yake
inamaanisha kuwa baba yake ni mzazi wake. Hii inamaanisha kuwa viongozi wa dini waliwafundisha kuwa mtu hana haja ya kumheshimu mzazi wake kwa kumsaidia.
# mmelitangua neno la Mungu kwa ajiliya mapkeo yanu
Mmezifanya desturi zenu kuwa za muhimu kulikko neno la Mungu