# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kwajibu Mafarisayo # Maelezo kwa ujumla Katika mstariwa 4, Yesu ananukuu m ara mbili kutoka kitabu cha kutoka ili kuonyesha jinsi Mungu anavyotegemea watu kuwatendea wazazi wao # hakika atakufa watu watamuua # Lakini ninyio husema, 'kila amwambiaye baba yake na mama yake ... mtu huyo hana haja ya kumheshimu baba yake Lakini mnafundisha kuwa mtu hahitajio kuwaheshimu wazazi wake kwa kuwapa kitu ambacho kingeweza kuwasaidia kama mtu atawaambia wazazi wake hivyo tayari ameto zawadi kwa Mungu # hana haja ya kumheshimu baba yake inamaanisha kuwa baba yake ni mzazi wake. Hii inamaanisha kuwa viongozi wa dini waliwafundisha kuwa mtu hana haja ya kumheshimu mzazi wake kwa kumsaidia. # mmelitangua neno la Mungu kwa ajiliya mapkeo yanu Mmezifanya desturi zenu kuwa za muhimu kulikko neno la Mungu