sw_tn/mat/14/22.md

24 lines
531 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Mistari ifuatayo inaelaza matukio yaliyotokea baada ya Yesu kuwalisha watu elfu tano
# Maelezo kwa ujumla
Mistari hii inatoa historia juu ya muujiza amabo Yesu anataka kuuonesha juu ya kutumbea juu ya maji
# Mara moja
"Punde tu baada ya Yesu kuwalisha watu wote"
# ilipokuwa jioni
"baadaye jioni" au "giza lilipoingia"
# bahari ikiyumbayumba kwa sababu ya mawimbi
"na wanafunzi hahawezi kuiongoza mashua kwa sababu ya mawimbi makubwa"
# kwani upepo ulikuwa wa mbisho
kwani upepo ulivuma kinyume nao