# Sentensi unganishi Mistari ifuatayo inaelaza matukio yaliyotokea baada ya Yesu kuwalisha watu elfu tano # Maelezo kwa ujumla Mistari hii inatoa historia juu ya muujiza amabo Yesu anataka kuuonesha juu ya kutumbea juu ya maji # Mara moja "Punde tu baada ya Yesu kuwalisha watu wote" # ilipokuwa jioni "baadaye jioni" au "giza lilipoingia" # bahari ikiyumbayumba kwa sababu ya mawimbi "na wanafunzi hahawezi kuiongoza mashua kwa sababu ya mawimbi makubwa" # kwani upepo ulikuwa wa mbisho kwani upepo ulivuma kinyume nao