sw_tn/mat/14/01.md

24 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Mistari hii inaeleza jinsi Herode alivyopokea aliposikia habari za Yesu. Tukio hili linfuatia baada ya tukio linalofuata katika simulizi
# Kwa wakati huo
"Katika siku hizo" au "wakati Yesu akiendelea na huduma huko Galilaya"
# alaisikia habari juuya Yesu
alaisikia juu ya uvumi wa Yesu
# Akawaambia
"Herode alisema"
# amaefufuka ktoka wafu
amerudi kuishi
# kwa hiyo nguvu hizi zipo juu yake
Baadhi ya Wayahudi waliamini kuwa kama mtu atarudikutoka wafu anaweza kuwa nanguvu za kufanya mambo makubwa.