# Maelezo kwa ujumla Mistari hii inaeleza jinsi Herode alivyopokea aliposikia habari za Yesu. Tukio hili linfuatia baada ya tukio linalofuata katika simulizi # Kwa wakati huo "Katika siku hizo" au "wakati Yesu akiendelea na huduma huko Galilaya" # alaisikia habari juuya Yesu alaisikia juu ya uvumi wa Yesu # Akawaambia "Herode alisema" # amaefufuka ktoka wafu amerudi kuishi # kwa hiyo nguvu hizi zipo juu yake Baadhi ya Wayahudi waliamini kuwa kama mtu atarudikutoka wafu anaweza kuwa nanguvu za kufanya mambo makubwa.