sw_tn/mat/13/47.md

40 lines
706 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaelezea ufalme wa mbinguni kwa kutumia mfano wa mvuvi anayetumia nyavu kubwa kukamata samaki
# Ufalme wa mbinguni ni kama nyavu
ufalme sikama nyavu, lakini ufalme hukokota watu wa kila aina kamavile nyavu zikokotavyo aina zote za samaki
# ufalme wa mbinguni ni kama
tazama katika 13:24
# ni kama nyavu iliyo ndani ya bahari
kama nyavu ambayo wavuvi hutupa ndani ya bahari
# iliyotupwa ndani ya bahari
"iliyotupwa baharini"
# hukusanya viumbe wa kila aina
"ilikamata viumbe wa kila aina
# walivuta ufukweni
"walivuta ule wavu mpaka ufukweni"
# vitu vyema
"vile vizuri"
# visivyo na thamani
"samaki wabaya" au "samaki wasiofaa"
# vilitupwa mbali
"havikutunzwa"