# Sentensi unganishi Yesu anaelezea ufalme wa mbinguni kwa kutumia mfano wa mvuvi anayetumia nyavu kubwa kukamata samaki # Ufalme wa mbinguni ni kama nyavu ufalme sikama nyavu, lakini ufalme hukokota watu wa kila aina kamavile nyavu zikokotavyo aina zote za samaki # ufalme wa mbinguni ni kama tazama katika 13:24 # ni kama nyavu iliyo ndani ya bahari kama nyavu ambayo wavuvi hutupa ndani ya bahari # iliyotupwa ndani ya bahari "iliyotupwa baharini" # hukusanya viumbe wa kila aina "ilikamata viumbe wa kila aina # walivuta ufukweni "walivuta ule wavu mpaka ufukweni" # vitu vyema "vile vizuri" # visivyo na thamani "samaki wabaya" au "samaki wasiofaa" # vilitupwa mbali "havikutunzwa"