sw_tn/mat/13/18.md

32 lines
664 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sentensi unganishi
Yesu anaanza kufafanua kwa wanafunzi wake ule mfano wa mpanzi unaoanzi 13:3
# neno la ufalme
neno linamaanisha ujumbe "ufalme" unamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme
# mwovu huja nakukinyakua kilichokwisha kupandwa mioyoni mwenu
Yesu anaongea juu ya shaetani anayewafanya kusahau kile walichosikia kama ndege anavyozidonoa mbegu zilizoanguka chini.
# mwovu
shetani
# kukinyakua
kukichukua kitu kwa mtu aliyesahihi
# kilichokwishapandwa ndani ya moyo wake
ujume ule Mungu aliopanda nadani ya moyo wake.
# ndani ya moyo ake
moyo unamanisha akili ya msikilizaji
# hii ni mbegu iliyopandwa kando ya njia
tafsiri kama ilivyo 13:3