# sentensi unganishi Yesu anaanza kufafanua kwa wanafunzi wake ule mfano wa mpanzi unaoanzi 13:3 # neno la ufalme neno linamaanisha ujumbe "ufalme" unamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme # mwovu huja nakukinyakua kilichokwisha kupandwa mioyoni mwenu Yesu anaongea juu ya shaetani anayewafanya kusahau kile walichosikia kama ndege anavyozidonoa mbegu zilizoanguka chini. # mwovu shetani # kukinyakua kukichukua kitu kwa mtu aliyesahihi # kilichokwishapandwa ndani ya moyo wake ujume ule Mungu aliopanda nadani ya moyo wake. # ndani ya moyo ake moyo unamanisha akili ya msikilizaji # hii ni mbegu iliyopandwa kando ya njia tafsiri kama ilivyo 13:3