sw_tn/mat/13/07.md

32 lines
717 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anamaliza mfano wa mpanzi
# zilianguka katai ya miti ya miiba
"zilianguka mahali ambapo miiba na mimea hukua"
# ikaisonga
"ikaisinga ile mimea mipya" tumia neno lako magugu kuzuia mimea mingine kukua vizuri.
# kuzaa mbegu
"kuzaa mazao" au "kuzalisha mbegu zaidi" au kutoa matunda"
# zingine maramiamoja zadi, zingine sitini, na zingine thelathini
unaweza kuiweka vizuri zaidi katika maana inayoeleweka
# mia moja ... sitini ... thelathini
"100 ... 60 ... 30"
# aliye na masikio
Hii ni njia inayomaaisha kwa kila anayesikiliza. "Kila anayenisikilza." Tazamaulivyotafsiri katika 11:13
# asikie
Hapa "kusikia" inamaanisha kuwa msikivu. "lazima awe makini na kile ninachokisema"