# Sentensi unganishi Yesu anamaliza mfano wa mpanzi # zilianguka katai ya miti ya miiba "zilianguka mahali ambapo miiba na mimea hukua" # ikaisonga "ikaisinga ile mimea mipya" tumia neno lako magugu kuzuia mimea mingine kukua vizuri. # kuzaa mbegu "kuzaa mazao" au "kuzalisha mbegu zaidi" au kutoa matunda" # zingine maramiamoja zadi, zingine sitini, na zingine thelathini unaweza kuiweka vizuri zaidi katika maana inayoeleweka # mia moja ... sitini ... thelathini "100 ... 60 ... 30" # aliye na masikio Hii ni njia inayomaaisha kwa kila anayesikiliza. "Kila anayenisikilza." Tazamaulivyotafsiri katika 11:13 # asikie Hapa "kusikia" inamaanisha kuwa msikivu. "lazima awe makini na kile ninachokisema"