sw_tn/mat/12/43.md

32 lines
970 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwakemea waandishi na Mafarisyao.
# Wakati pepo machafu ... kwa kizazi hiki kibovu
Yesu anatumia mfano kuwaonya watu hatari ya kutokuamini
# "mahali pasipo na maji
"eneo kavu"au "mahali ambapo watu hawaishi"
# lakini hapaoni
Hapa "ni" inamaanisha kupumzika
# Kisha husema, 'nitarudi kwenye nyumba yangu niloyotoka
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi na wala si nukuu "kwa hiyo yule roho mchafu huamua kurudi kwenye nyumba yake ambayo alitoka"
# kwenye nyumba yangu niliyotoka
Hii ni sitiari ya ya mtu ambaye pepo lilitoka. "pale nilikotoka
# arudipo akikuta ile nyumba imesafishwa na iko tayari
Hii inaweza kutafsiriwa katika muunda tendaji. "yule roho mchafu akikuta ile nyumba iko safi na imewekwa kila kitu katika mahali pake",
# Hivi ndivyo itavyokuwa kwa kizazi hiki kiovu
Hii inamaanisha kama watu wa kizazi cha Yesu hawatamwamini na kuwa wanfunzi wake, watakuwa katika hali mbaya kuliko walivyokuwa mwanzoni