# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwakemea waandishi na Mafarisyao. # Wakati pepo machafu ... kwa kizazi hiki kibovu Yesu anatumia mfano kuwaonya watu hatari ya kutokuamini # "mahali pasipo na maji "eneo kavu"au "mahali ambapo watu hawaishi" # lakini hapaoni Hapa "ni" inamaanisha kupumzika # Kisha husema, 'nitarudi kwenye nyumba yangu niloyotoka Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi na wala si nukuu "kwa hiyo yule roho mchafu huamua kurudi kwenye nyumba yake ambayo alitoka" # kwenye nyumba yangu niliyotoka Hii ni sitiari ya ya mtu ambaye pepo lilitoka. "pale nilikotoka # arudipo akikuta ile nyumba imesafishwa na iko tayari Hii inaweza kutafsiriwa katika muunda tendaji. "yule roho mchafu akikuta ile nyumba iko safi na imewekwa kila kitu katika mahali pake", # Hivi ndivyo itavyokuwa kwa kizazi hiki kiovu Hii inamaanisha kama watu wa kizazi cha Yesu hawatamwamini na kuwa wanfunzi wake, watakuwa katika hali mbaya kuliko walivyokuwa mwanzoni