forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
779 B
Markdown
28 lines
779 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Yesu anamalizia kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu kitu cha kufanya na nini watarajie watakapoenda kuhubiri.
|
||
|
|
||
|
# yeyote atakayempatia
|
||
|
|
||
|
"yeyote ambaye atampatia."
|
||
|
|
||
|
# mmoja wa wadogo hawa
|
||
|
|
||
|
"mmoja wa hawa wanyenyekevu" au "hawa wasio wa muhimu," Kirai "mmoja wa" mmoja kati ya wanafunzi waYesu.
|
||
|
|
||
|
# kweli ninwaambia
|
||
|
|
||
|
"Ninawambia ukweli." Kirai hiki kinongeza msisitizo wa kile Yesu atakachokisema baadaye.
|
||
|
|
||
|
# hawezi... kukosa thawabu yake
|
||
|
|
||
|
Kiwakiloishi "ha" na "yake" kinamaanisha mtu yule anayetoa.
|
||
|
|
||
|
# yeye hawezi kukosa kwa njia yeyote thawabu yake
|
||
|
|
||
|
"kwamba mtu hakika atapokea thawabu yake"
|
||
|
|
||
|
# hawezi kukosa kwa njia yeyote
|
||
|
|
||
|
"Mungu hatamkana." "kukanwa" Hii haimanishi kutoweka kwa mali. Hii inaweza kuelezeka kwa mfumo tendaji. "Kwa hakika Mungu atampatia"
|