# Sentensi unganishi Yesu anamalizia kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu kitu cha kufanya na nini watarajie watakapoenda kuhubiri. # yeyote atakayempatia "yeyote ambaye atampatia." # mmoja wa wadogo hawa "mmoja wa hawa wanyenyekevu" au "hawa wasio wa muhimu," Kirai "mmoja wa" mmoja kati ya wanafunzi waYesu. # kweli ninwaambia "Ninawambia ukweli." Kirai hiki kinongeza msisitizo wa kile Yesu atakachokisema baadaye. # hawezi... kukosa thawabu yake Kiwakiloishi "ha" na "yake" kinamaanisha mtu yule anayetoa. # yeye hawezi kukosa kwa njia yeyote thawabu yake "kwamba mtu hakika atapokea thawabu yake" # hawezi kukosa kwa njia yeyote "Mungu hatamkana." "kukanwa" Hii haimanishi kutoweka kwa mali. Hii inaweza kuelezeka kwa mfumo tendaji. "Kwa hakika Mungu atampatia"