sw_tn/mat/10/40.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi.
Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu kutohofia dhiki itakayowakabili.
# Yeye atakaye
Neno "yeye" linamaanisha mtu yeyote. "yeyote" au "yeyote ambaye" au " ambaye"
# atakayewakaribisha
Inamaanisha kumkaribisha mtu kama mgeni
# Wa
Kiwakilishi "wa" kinamaanisha mitume kumi na wawili ambao Yesu anawaaambia.
# ananikaribisha mimi
Yesu anamaanisha ni sawa na kumkaribisha yeye. "ni kama ananikaribisha mimi" au "ni kama vile alikuwa ananikaribisha mimi"
# kumkaribisha yeye aliyenituma
Hii inamaanisha wakati mtu anamkaribisha Yesu ni sawa na kumkaribisha Mungu. "ni kama vile kumkaribisha Mungu aliyenituma"
# Kwa sababu ni nabii
Hapa kiwakilishi cha "ni" kinamaanisha mtu anayekaribishwa.
# thawabu ya nabii
Hii inamaanisha zawadi ambayo Mungu anampa nabii. wala siyo zawadi ambayo nabii anampatia mtu mwingine.
# mtu wa haki
Hapa "wa" haimaanishi mtu anayekaribisha. Inamaaanisha mtu anayekaribishwa.
# thawabu ya mtu wa haki
Hii inamaanisha zawadi ambayo Mungu humpa mtu wa haki, siyo zawadi ambayo mtu wa haki humpatia mtu mwingine.