sw_tn/mat/09/23.md

24 lines
661 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inarudisha habari ya Yesu kumfufua binti wa afisa wa Kiyahudi
# nyumba ya ofisa
Hii ilikuwa nyumba ya kiongozi wa kiyahudi
# wapiga tarumbeta na umati wa watu walikuwa wakipiga kelele
Huu ni utamaduni wa kawaida wa kumboleza pale mtu anapokuwa amekufa.
# wapiga zumari
"watu ambao wanapiga zumari/filimbi"
# Ondoka hapa
Yesu alikuwa akiongea kwa watu wengi, hivyo tumia mfumo wa wingi wa kutoa amri kama lugha yenu inao huo.
# binti hajafa, lakini amelala
Yesu anatumia igizo la maneno. Ilikuwa ni kawaida kipindi cha Yesu kusema mtu aliyekufa kuwa "amelala" Lakini hapa binti aliyekufa ataamka, ingawa yeye alikuwa amelala.