sw_tn/mat/09/17.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kujibu swali ambalo wanafaunzi wa Yohana walikuwa wameuliza
# Hakuna watu wanaoweka mvinyo mpya katika ngozi ya zamani
Yesu anatumia mithali Nyingine kuwajibu wanafunzi wa Yohana. Hii inamaanisha ni kitu kilekile sawa na mithali ya 9:16
# Hakuna watu wanaoweka
"Hakuna hata mmoja anayemwaga" au "Watu hawaweki kamwe"
# mvinyo mpya
Huu ni mvinyo ambao haujachacha. Kama mizabibu haijulikani kwenye sehemu yenu, tumia neno la ujumla la tunda."mvinyo wa matunda"
# mfuko wa mvinyo mkuukuu
Hii inamaanisha mifuko ya mvinyo ambayo imekuwa ikitumika mara nyingi.
# Mfuko wa mvinyo
"mkoba wa mvinyo" au "mkoba wa ngozi". Hii ni mifuko iliyokuwa imetengenezwa kwa ngozi za wanyama.
# mvinyo utatoweka na gozi itaharibika
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Na hii itaharibu mfuko wa mvinyo na mvinyo kumwagika.
# ngozi itaharibika
mvinyo mpya unapochacha na kuumuka, ile ngozi huchanika kwa sababu haiwezi tena kutanuka.
# ngozi mpya
"mifuko mipya ya mvinyo" au "begi jipya la mvinyo" Hii inamaanisha ngozi ya mvinyo ambayo haijawahi kutumika.
# vyote vitakuwa salama
Hili linaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji